POLISI WANASA BIDHAA ZA MABILIONI ZINAZODAIWA KUTOLIPIWA KODIBasi Kampuni ya SMART lenye namba za usajili T.891 CAW, limekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Pwani likiwa na Shehena ya bidhaa za dukani ikiwemo nguo na mafuta ya Kupikia zenye thamani ya Mamilioni zinazodhaniwa kuwa hazijalipiwa kodi ya Serikali.

source