SERIKALI YATOA MAAGIZO WAFANYABIASHARA NA VIWANDA KUPUNGUZIWA KODIWaziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda ameagiza Wakala wa Udhibiti wa Viwango (TBS), Wakala wa Vipimo (WMA) na Tume ya Ushindani (FCC) kufanya mapitio ya kanuni ili kupunguza viwango vya tozo wanazotoza wenye viwanda na wafanyabiashara na kuleta marekebisho kabla ya Juni 30, 2019.

source